2 Sam. 11:1 SUV

1 Hata ikawa, mwanzo wa mwaka mpya, wakati watokapo wafalme kwenda vitani, Daudi akampeleka Yoabu, na watumishi wake pamoja naye, na Israeli wote; wakawaangamiza wana wa Amoni, wakauhusuru Raba. Lakini Daudi mwenyewe akakaa Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 11

Mtazamo 2 Sam. 11:1 katika mazingira