2 Sam. 10:19 SUV

19 Na wafalme wote waliomtumikia Hadadezeri walipojiona kuwa wameshindwa mbele ya Israeli, walifanya amani na Israeli, wakawatumikia. Basi Washami wakaogopa kuwasaidia wana wa Amoni tena.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 10

Mtazamo 2 Sam. 10:19 katika mazingira