2 Sam. 12:19 SUV

19 Lakini alipoona ya kuwa watumishi wake wananong’onezana, Daudi alitambua ya kuwa mtoto amekufa; basi Daudi akawauliza watumishi wake, Je! Mtoto amekufa? Nao wakasema, Amekufa.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 12

Mtazamo 2 Sam. 12:19 katika mazingira