2 Sam. 12:20 SUV

20 Ndipo Daudi akainuka pale chini akaoga, akajipaka mafuta, akabadili mavazi yake; akaingia nyumbani mwa BWANA, akasali; kisha akaenda nyumbani kwake, na alipotaka wakamwandalia chakula, naye akala.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 12

Mtazamo 2 Sam. 12:20 katika mazingira