2 Sam. 12:21 SUV

21 Watumishi wake wakamwambia, Ni neno gani hili ulilolitenda? Ulifunga na kulia kwa ajili ya mtoto, alipokuwa hai; lakini mtoto alipokuwa amekufa, uliinuka ukala chakula.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 12

Mtazamo 2 Sam. 12:21 katika mazingira