2 Sam. 12:30 SUV

30 Kisha akamnyang’anya mfalme wao taji toka kichwani pake; na uzani wake ulikuwa talanta ya dhahabu, nayo ilikuwa na vito vya thamani ndani yake; akavikwa Daudi kichwani. Akazitoa nyara za huo mji, nyingi sana.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 12

Mtazamo 2 Sam. 12:30 katika mazingira