2 Sam. 12:31 SUV

31 Naye akawatoa watu waliokuwamo, akawaweka kwenye kazi ya misumeno, na sululu za chuma, na mashoka ya chuma, akawatumikisha tanuuni mwa matofali; ndivyo alivyoifanya miji yote ya wana wa Amoni. Kisha Daudi akarudi na watu wote Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 12

Mtazamo 2 Sam. 12:31 katika mazingira