2 Sam. 13:1 SUV

1 Ikawa baada ya hayo, Absalomu, mwana wa Daudi, alikuwa na umbu mzuri, jina lake akiitwa Tamari, naye Amnoni, mwana wa Daudi, akampenda.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 13

Mtazamo 2 Sam. 13:1 katika mazingira