2 Sam. 12:7 SUV

7 Basi Nathani akamwambia Daudi, Wewe ndiwe mtu huyo. BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nalikutia mafuta, uwe mfalme juu ya Israeli, nikakuokoa na mkono wa Sauli;

Kusoma sura kamili 2 Sam. 12

Mtazamo 2 Sam. 12:7 katika mazingira