2 Sam. 12:8 SUV

8 nami nikakupa nyumba ya bwana wako, na wake za bwana wako kifuani mwako; nikakupa nyumba ya Israeli na ya Yuda; na kama hayo yangalikuwa machache, ningalikuongezea mambo kadha wa kadha.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 12

Mtazamo 2 Sam. 12:8 katika mazingira