2 Sam. 12:9 SUV

9 Kwa nini umelidharau neno la BWANA, na kufanya yaliyo mabaya machoni pake? Umempiga Uria, Mhiti, kwa upanga, nawe umemtwaa mkewe awe mke wako, nawe umemwua huyo kwa upanga wa wana wa Amoni.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 12

Mtazamo 2 Sam. 12:9 katika mazingira