2 Sam. 13:18 SUV

18 Naye alikuwa amevaa kanzu ndefu; kwa kuwa kwa nguo hizo huvikwa binti za mfalme waliokuwa wanawali. Ndipo mtumishi wake akamleta nje, akafunga mlango nyuma yake.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 13

Mtazamo 2 Sam. 13:18 katika mazingira