2 Sam. 13:19 SUV

19 Naye Tamari akatia majivu kichwani mwake, akairarua hiyo kanzu ndefu yake aliyoivaa, akaweka mkono kichwani akaenda zake huku akilia kwa sauti.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 13

Mtazamo 2 Sam. 13:19 katika mazingira