2 Sam. 13:22 SUV

22 Ila Absalomu hakusema na Amnoni wala kwa heri wala kwa shari; kwa maana Absalomu alimchukia Amnoni kwa kumtenza nguvu umbu lake Tamari.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 13

Mtazamo 2 Sam. 13:22 katika mazingira