2 Sam. 13:23 SUV

23 Ikawa baada ya miaka miwili mizima, Absalomu alikuwa na wenye kukata manyoya ya kondoo huko Baal-hasori uliopo upande wa Efraimu; naye Absalomu akawaalika wana wote wa mfalme.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 13

Mtazamo 2 Sam. 13:23 katika mazingira