2 Sam. 13:24 SUV

24 Absalomu akamjia mfalme, akasema, Tazama sasa, mimi mtumwa wako ninao wakata manyoya ya kondoo; basi mfalme na aende, nakusihi, na watumishi wake pamoja nami mtumwa wako.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 13

Mtazamo 2 Sam. 13:24 katika mazingira