2 Sam. 13:25 SUV

25 Mfalme akamwambia Absalomu, Sivyo, mwanangu, tusiende sote, tusije tukakulemea. Akamsihi sana; asikubali kwenda, ila akambariki.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 13

Mtazamo 2 Sam. 13:25 katika mazingira