2 Sam. 13:27 SUV

27 Mfalme akamwambia, Kwa nini aende nawe? Lakini Absalomu akamsihi sana, naye akamwacha Amnoni na wana wote wa mfalme waende naye.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 13

Mtazamo 2 Sam. 13:27 katika mazingira