2 Sam. 13:28 SUV

28 Kisha Absalomu akawaamuru watumishi wake, akasema, Angalieni basi, moyo wake Amnoni utakapofurahiwa kwa mvinyo; nami nitakapowaambia, Mpigeni Amnoni, ndipo mwueni, msiogope; si mimi niliyewaamuru? Iweni hodari, iweni na ujasiri.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 13

Mtazamo 2 Sam. 13:28 katika mazingira