2 Sam. 13:29 SUV

29 Basi watumishi wa Absalomu wakamfanyia Amnoni kama alivyoamuru Absalomu. Ndipo wakaondoka wana wote wa mfalme, wakapanda kila mtu nyumbu wake, wakakimbia.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 13

Mtazamo 2 Sam. 13:29 katika mazingira