2 Sam. 13:36 SUV

36 Ikawa alipokwisha kusema, tazama, wana wa mfalme walikuja, nao wakapaza sauti zao wakalia; mfalme naye akalia, na watumishi wake wote, kilio kikubwa mno.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 13

Mtazamo 2 Sam. 13:36 katika mazingira