2 Sam. 13:37 SUV

37 Lakini Absalomu akakimbia, akamwendea Talmai, mwana wa Amihuri, mfalme wa Geshuri. Naye Daudi akamlilia mwanawe kila siku.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 13

Mtazamo 2 Sam. 13:37 katika mazingira