2 Sam. 13:4 SUV

4 Naye akamwambia, Kwa nini, Ee mwana wa mfalme, unakonda hivi siku kwa siku? Hutaki kuniambia? Amnoni akamwambia, Nampenda Tamari, umbu la ndugu yangu, Absalomu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 13

Mtazamo 2 Sam. 13:4 katika mazingira