2 Sam. 13:5 SUV

5 Yonadabu akamwambia, Lala kitandani mwako ujifanye mgonjwa na babako atakapokuja kukutazama, umwambie, Mwache ndugu yangu, Tamari, aje, nakusihi, anipe mkate nile, akaandae chakula machoni pangu nikione, nikakile mkononi mwake.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 13

Mtazamo 2 Sam. 13:5 katika mazingira