2 Sam. 13:6 SUV

6 Basi Amnoni akalala, akajifanya mgonjwa; na mfalme alipokuja kumtazama, Amnoni akamwambia mfalme Mwache ndugu yangu, Tamari, aje, nakusihi, aniandalie mikate miwili machoni pangu, nipate kula mkononi mwake.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 13

Mtazamo 2 Sam. 13:6 katika mazingira