2 Sam. 14:13 SUV

13 Mwanamke akasema, Kwa nini basi wewe umewafikiria mambo kama hayo watu wa Mungu? Kwani kwa kunena neno hili mfalme ni kama mwenye hatia, kwa kuwa mfalme hamleti kwao tena yule mfukuzwa wake.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 14

Mtazamo 2 Sam. 14:13 katika mazingira