2 Sam. 14:14 SUV

14 Kwa kuwa hatuna budi kufa, nasi tu kama maji yaliyomwagika chini, yasiyowezekana kuzoleka tena; wala Mungu haondoi maisha ila hufikiri shauri, kwamba yeye aliyefukuzwa asiwe mkimbizi kwake.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 14

Mtazamo 2 Sam. 14:14 katika mazingira