2 Sam. 14:17 SUV

17 Ndipo mimi mjakazi wako nikasema, Neno la bwana wangu mfalme na liwe la kustarehesha; kwa kuwa kama malaika wa Mungu ndivyo alivyo bwana wangu mfalme, kuyapambanua yaliyo mema na yaliyo mabaya; naye BWANA, Mungu wako na awe pamoja nawe.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 14

Mtazamo 2 Sam. 14:17 katika mazingira