2 Sam. 14:18 SUV

18 Ndipo mfalme akajibu, akamwambia yule mwanamke, usinifiche, nakusihi, neno lo lote nitakalokuuliza. Na mwanamke akasema, Na anene sasa bwana wangu mfalme.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 14

Mtazamo 2 Sam. 14:18 katika mazingira