2 Sam. 14:25 SUV

25 Basi katika Israeli wote hapakuwa na mtu hata mmoja mwenye kusifiwa kwa uzuri wake kama huyo Absalomu; tangu nyayo za miguu yake hata utosi wa kichwa chake hapakuwa na ila kwake.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 14

Mtazamo 2 Sam. 14:25 katika mazingira