2 Sam. 14:26 SUV

26 Naye aliponyoa kichwa, (basi mwisho wa kila mwaka hunyoa; na kwa sababu nywele zilikuwa nzito kwake, kwa hiyo akanyoa;) hupima nywele za kichwa chake shekeli mia mbili kwa uzani wa mfalme.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 14

Mtazamo 2 Sam. 14:26 katika mazingira