2 Sam. 14:29 SUV

29 Ndipo Absalomu akatuma kumwita Yoabu, ampeleke kwa mfalme, lakini yeye akakataa kumjia; akatuma tena mara ya pili, lakini akakataa kuja.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 14

Mtazamo 2 Sam. 14:29 katika mazingira