2 Sam. 15:18 SUV

18 Watumishi wake wote wakapita karibu naye; na Wakerethi wote, na Wapelethi wote, na Wagiti wote, watu mia sita walioandamana naye kutoka Gathi, wakapita mbele ya mfalme.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 15

Mtazamo 2 Sam. 15:18 katika mazingira