2 Sam. 15:19 SUV

19 Ndipo mfalme akamwambia Itai, Mgiti, Mbona wewe unakwenda pamoja nasi? Rudi, ukakae na mfalme; maana wewe u mgeni, tena u mtu uliyefukuzwa mahali pako mwenyewe.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 15

Mtazamo 2 Sam. 15:19 katika mazingira