2 Sam. 15:20 SUV

20 Kwa kuwa umekuja jana tu kwa nini nikusumbue leo, na kukuzungusha huko na huko pamoja nasi nami hapa naenda niwezapo kwenda? Rudi wewe, ukawarudishe na ndugu zako; rehema na kweli ziwe pamoja nawe.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 15

Mtazamo 2 Sam. 15:20 katika mazingira