2 Sam. 15:30 SUV

30 Daudi akapanda akishika njia ya kuupandia mlima wa Mizeituni, akilia alipokuwa akipanda; naye alikuwa amejifunika kichwa chake, akaenda hana viatu; na watu wote waliokuwa pamoja naye wakajifunika vichwa vyao, kila mmoja wao, wakapanda juu, wakilia walipopanda.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 15

Mtazamo 2 Sam. 15:30 katika mazingira