31 Mtu mmoja akamwambia Daudi ya kwamba, Ahithofeli yu katika hao waliopatana na Absalomu; Daudi akasema, Ee BWANA, nakusihi, uligeuze shauri la Ahithofeli liwe ubatili.
Kusoma sura kamili 2 Sam. 15
Mtazamo 2 Sam. 15:31 katika mazingira