32 Ikawa, Daudi alipofika juu, hapo Mungu alipoabudiwa, tazama, Hushai, Mwarki, akaja kumlaki na joho lake limeraruliwa, tena ana udongo kichwani mwake.
Kusoma sura kamili 2 Sam. 15
Mtazamo 2 Sam. 15:32 katika mazingira