2 Sam. 15:7 SUV

7 Hata ikawa mwisho wa miaka minne, Absalomu akamwambia mfalme Tafadhali uniache niende nikaondoe nadhiri yangu, niliyomwekea BWANA huko Hebroni.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 15

Mtazamo 2 Sam. 15:7 katika mazingira