2 Sam. 15:8 SUV

8 Maana mimi mtumishi wako naliweka nadhiri hapo nilipokuwa nikikaa Geshuri katika Shamu, nikasema, Kama BWANA akinirudisha Yerusalemu kweli, ndipo nitamtumikia BWANA.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 15

Mtazamo 2 Sam. 15:8 katika mazingira