2 Sam. 16:6 SUV

6 Tena akamtupia Daudi mawe, na watumishi wote wa mfalme Daudi; na watu wote na mashujaa wote walikuwako mkono wake wa kuume na mkono wake wa kushoto.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 16

Mtazamo 2 Sam. 16:6 katika mazingira