2 Sam. 17:13 SUV

13 Tena, ikiwa amejitia katika mji uwao wote, basi Israeli wote wataleta kamba, na kuuendea mji ule, nasi tutaukokota mpaka mtoni, wala halitaonekana huko hata jiwe dogo moja la mawe yake.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 17

Mtazamo 2 Sam. 17:13 katika mazingira