2 Sam. 17:16 SUV

16 Basi sasa pelekeni habari upesi kamwambieni Daudi ya kwamba, Usilale usiku huu karibu na vivuko vya jangwani; bali usikose kuvuka; asije akamezwa mfalme, na watu wote walio pamoja naye.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 17

Mtazamo 2 Sam. 17:16 katika mazingira