2 Sam. 17:17 SUV

17 Basi Yonathani na Ahimaasi walikuwa wakikaa karibu na Enrogeli; na mjakazi mmoja alikuwa akienda na kuwapa habari; nao huenda kumwambia mfalme Daudi; maana ilikuwa lazima wasionekane wakiingia mjini.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 17

Mtazamo 2 Sam. 17:17 katika mazingira