2 Sam. 17:18 SUV

18 Lakini kijana mmoja aliwaona, akamwambia Absalomu; basi wakaenda wote wawili kwa haraka, wakafika Bahurimu, nyumbani kwa mtu aliyekuwa na kisima uani mwake; wakashuka ndani yake.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 17

Mtazamo 2 Sam. 17:18 katika mazingira