2 Sam. 17:9 SUV

9 Angalia, amefichwa sasa katika shimo, au penginepo; kisha itakuwa, watakapoanguka baadhi yao mwanzo, kila mtu atakayesikia, atasema, Kuna machinjo katika watu wanaofuatana na Absalomu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 17

Mtazamo 2 Sam. 17:9 katika mazingira