10 Basi mtu mmoja akaona hayo, akaenda akamwambia Yoabu, akasema, Tazama, mimi nalimwona Absalomu ametundikwa katika mwaloni.
Kusoma sura kamili 2 Sam. 18
Mtazamo 2 Sam. 18:10 katika mazingira