11 Naye Yoabu akamwambia mtu yule aliyempasha habari, Je! Wewe umeona haya; Mbona, basi, hukumpiga hata nchi papo hapo? Nami ningalikupa fedha kumi na mshipi.
Kusoma sura kamili 2 Sam. 18
Mtazamo 2 Sam. 18:11 katika mazingira