2 Sam. 18:13 SUV

13 Na tena, kama ningaliitendea roho yake kwa hila; (wala hapana neno lo lote liwezalo kufichwa mbele ya mfalme); ndipo wewe mwenyewe ungalijitenga.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 18

Mtazamo 2 Sam. 18:13 katika mazingira