2 Sam. 18:14 SUV

14 Ndipo Yoabu akasema, Siwezi kungoja na kusema nawe hivi. Akachukua vyemba vitatu mkononi mwake, akamchoma Absalomu moyoni, alipokuwa akali hai katikati ya ule mwaloni.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 18

Mtazamo 2 Sam. 18:14 katika mazingira